Rating
Distance

Kiki's Fashion
Kiki's Fashion ni duka la kisasa la mitindo linalojihusisha na kubuni (designing) na kuuza mavazi ya kipekee yanayoendana na ladha ya wateja wa kisasa.

Sleep Inn Hotel
Sleep Inn Hotel, likiwa na matawi mawili jijini Dar es Salaam — City Centre na Kariakoo — ni hoteli ya thamani inayolenga wateja wa kibiashara na watalii wanaotafuta malazi ya uhakika, salama na wenye gharama nafuu, karibu na maeneo muhimu ya jiji ka...

Maasai Giraffe Eco Lodge
Maasai Giraffe Eco Lodge iko karibu na Ziwa Natron katika mkoa wa Arusha, ikikubaliana na mandhari ya Rift Valley na Mlima Ol Doinyo Lengai. Ni hoteli ya mazingira na utalii wa kijamii inayounganisha uzuri wa asili, utamaduni wa Maasai, na ahueni ya...

Sea Cliff Hotel
Sea Cliff Hotel Dar es Salaam ni hoteli ya kifahari yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo katika eneo la mwamba linaloangalia Bahari ya Hindi. Hoteli hii inatoa mchanganyiko wa mandhari ya kuvutia ya bahari, huduma za kisasa, na utulivu wa hali ya juu,...

Mado Hotel
Mado Hotel ni hoteli ya kisasa iliyopo mjini Addis Ababa, Ethiopia, inayotoa huduma bora za malazi, chakula, afya na burudani kwa wageni wa ndani na wa kimataifa. Imejipambanua kwa mazingira ya kifahari, usafi wa hali ya juu, na huduma zinazozingatia...

Atrium Palace Hotels Thalasso Spa Resort & Villas
Hoteli ya Atrium Palace maarufu Thalasso Spa Resort & Villas ni moja ya hoteli zenye hadhi ya juu amabzo zinalenga kuwapa wateja huduma zinazoendana na hali yao ya maisha

Mafuta ya Korie
KORIE ni mafuta safi ya kupikia kwa afya yako njema!❤ Yametengenezwa na mafuta asilia ya mawese kuongeza ladha ya kipekee kwa kila mlo wako. Chakula cha kukaanga: Mafuta ya KORIE yanafaa kukaanga vyakula, kama vile; ndizi, samaki n.k. Mimina mafut...

Dew Drop Water
Dew Drop Water Company ni kampuni inayojishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa maji safi ya kunywa yaliyotengenezwa kwa kuzingatia viwango vya ubora na usalama wa kiafya. Wanatoa huduma na bidhaa mbalimbali kulingana na mahitaji ya wateja wa maj...

Ice Drop Water Company
Ice Drop Company Limited ni kampuni ya Tanzania iliyoanzishwa kwa lengo la kuzalisha na kusambaza maji safi ya kunywa nchini. Inafanya kazi kupitia mtandao wa wasambazaji na maduka yaliyo ndani ya Dar es Salaam, kikazi cha usambazaji unaoendelea eneo...

Dar es Salaam Serena Hotel
Dar es Salaam Serena Hotel ni hoteli inayotoa huduma mbalimbali kwa wageni wa aina tofauti, zikiwemo huduma za malazi, mikutano, chakula, spa na burudani.