Rating
Distance

Uswazi food
Uswazi Food ni sehemu ya huduma ya chakula inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Hutoa vyakula vya asili vinavyopikwa kwa ladha halisi ya nyumbani

Isha Mashauzi-Tamtam Foodpoint
Mashauzi TamTam Foods Point ni mgahawa unaomilikiwa na msanii maarufu Isha Mashauzi, na unapatikana eneo la Shentemba - Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ni mahali ambapo wateja hufurahia chakula bora cha kienyeji kinachoakisi ladha na tamaduni mbalim...

Esha Buheti Food
Esha Buheti House of Food ni mgahawa unaopatikana Kijitonyama, Dar es Salaam, ambao huandaa na kutoa vyakula mbalimbali vya asili kama wali, nyama, kuku, ugali, chipsi, mchemsho na vinginevyo. Huduma zinazotolewa huzingatia utofauti wa ladha na mahit...

Saluni inayotembea-J&R Mtita UniSex Saloon
Tunatoa huduma kwa saluni za kike na za kiume, tunapamba maharusi, tunakodisha mashera kwa bei nafuu. Karibu sana #Minyoosho Njoo Tukupendezeshe kunyoa Mtindo wowote ule wa Kisasa kwa nguvu ya buku mbili tu (Tsh 2,000/=) kuosha ni bureee ndani ya@of...

Radium Salon Equipments-Saluni za Kike na Kiume
Radium Salon Equipments suluhisho lako Kwa ajili ya mahitaji yako ya saluni ya kike Na barbershop what’s app 0713 249099 Instagram:radiumsalonequipments. Saluni ya Nywele za Kike na Kiume. Swahili and matumbi A, Dar es Salaam, Tanzania 0713 249...

Dolls Beauty Store and Saloon-Urembo
Dolls Beauty Store & Spa ni kampuni ya urembo inayojitolea kutoa suluhu za matatizo mbalimbali ya urembo katika maeneo kama vile ngozi, nywele, kucha n.k. Sisi ndio kampuni pekee inayotoa huduma za kutunza ngozi, kutunza nywele, kucha, vipodozi na SP...

Watoto fashiontz -Nguo
Duka la Nguo za Watoto Tunafanya Delivery na kutuma mikoani. Makumbusho Stand karibia na Mesuma Hotel, utaona sura mpya duka lipo Barabarani limeandikwa watotofashiontz, Dar es Salaam, Tanzania 0718 402 048

The MALAIKA bridal collection
Kwa Mahitaji ya Nguo za Harusi na Sherehe kwa Ujumla wasiliana nasi kwa Namba 0788049233 & 0788654171 Tupo Arusha karibu na Tanapa.

Finer Threads/Nyuzi nzuri zaidi-Sare
Kwa Mahitaji ya uniforms/Sare Mbalimbali zenye Ubora kwa Gharama nafuu wasiliana na sisi au fika Dukani kwetu mtaa wa mahiwa/Lumumba kariakoo 0pposite na Sleep inn Hotel Karibuni sana. 0787733994

Suti Tanzania
Hii sio ya kukosa.......!!!!! Karibuni sana.Unaponunua suti zetu kuna huduma ya kufitisha kwa mafundi wetu makini.Na pia kuna ofa kabambe kwa wale wote watakaonunua suti zaidi ya moja.