Rating
Distance

Mtandao wa Airtel Tanzania
Airtel Tanzania ilizinduliwa mnamo Oktoba 2001 na ni kampuni ya mawasiliano ya simu inayotoa huduma za mawasiliano nchini Tanzania. Kampuni hii inatoa bidhaa mbalimbali katika sekta ya mawasiliano, ikiwa ni pamoja na huduma za simu za mkononi, intane...

Mtandao Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania ni moja ya kampuni kubwa za mawasiliano nchini Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1994 kwa ushirikiano kati ya Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kutoka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone inamiliki asilimia 65 ya kampuni na ina jukumu l...

Mtandao Tigo/YAS
YAS ni kampuni ya mtandao wa huduma za simu awali ilijulikana kwa chapa ya Tigo. Chapa ya YAS imeziduliwa rasmi tarehe 26 Novemba 2024. Kampuni hiyo wakati inaingia nchini Tanzania miaka takribani 30 iliopita ilianza kwa jina la Mobitel kabla ya kui...