Isha Mashauzi-Tamtam Foodpoint
Mashauzi TamTam Foods Point ni mgahawa unaomilikiwa na msanii maarufu Isha Mashauzi, na unapatikana eneo la Shentemba - Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ni mahali ambapo wateja hufurahia chakula bora cha kienyeji kinachoakisi ladha na tamaduni mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya Tanzania.
Tovuti
https://www.instagram.com/ishamashauzioriginal
Barua pepe
tamtamfoodpoint@ishamashauzioriginal
Simu
+255 627292298