Nyumbani Hotel
Nyumbani Hotel ni hoteli ya kisasa inayotoa huduma bora kwa wageni wa ndani na wa kimataifa wanaotafuta malazi ya kustarehesha, chakula kitamu, na mazingira tulivu. Imejipambanua kwa kutoa huduma zinazokidhi viwango vya kitaifa na kimataifa, na inajulikana kwa ukarimu na uangalifu kwa kila mgeni
Tovuti
https://tanga.nyumbanihotels.co.tz
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 272645411