Chakula na Vinywaji
Inatolewa na Nyumbani Hotel
Restauranti ya Nyumbani Hotel inahudumia vyakula vya ndani na vya kimataifa, kwa ladha ya hali ya juu. Kuna menyu ya asubuhi (breakfast), mchana (lunch), na jioni (dinner), pamoja na vinywaji baridi na vileo kutoka kwenye baa yao ya kisasa