African Big Cats Safaris
African Big Cats Safaris ni kampuni ya utalii iliyo na ofisi kuu jijini Arusha, Tanzania. Kampuni hii inajihusisha na upangaji na uendeshaji wa safari mbalimbali za watalii katika maeneo ya vivutio vya kitalii ndani ya Tanzania. Inamilikiwa na kuendeshwa na wazawa, na inafanya kazi na wageni kutoka maeneo mbalimbali ya dunia.
Tovuti
www.africanbigcatssafaris.com
Barua pepe
[email protected]
Simu
+255 786508052