Huduma za Dharura na Ambulansi

Inatolewa na Aga Khan Hospital
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma za Dharura na Ambulansi

Inatolewa na Aga Khan Hospital

Hospitali ina kitengo cha dharura (Emergency Unit) kinachofanya kazi saa 24 kila siku kwa ajili ya ajali, magonjwa ya ghafla au wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa haraka.

Sign In