Duka la Dawa (Pharmacy)

Inatolewa na Saifee Hosipitali Tanzania
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Duka la Dawa (Pharmacy)

Inatolewa na Saifee Hosipitali Tanzania

Duka la dawa linapatikana ndani ya hospitali. Wagonjwa wanaweza kununua dawa walizoandikiwa na madaktari kutoka sehemu hiyo. Dawa zinazopatikana ni zile zilizosajiliwa kwa matumizi ya kitabibu.

Sign In