Mauzo ya Jumla na Reja Reja
Inatolewa na Azam Foods/Chakula
Huduma ya mauzo ya jumla inalenga wauzaji wakubwa kama wholesalers, maduka makubwa na mawakala wa bidhaa, wakati mauzo ya reja reja yanapatikana kupitia maduka madogo, supermarket, na kwenye vituo vya Azam vinavyouza moja kwa moja kwa wateja wa kawaida.