Huduma kwa Wateja
Inatolewa na Kilimanjaro Adventure Safari Club
Huduma kwa wateja inahusisha: Ushauri wa awali kuhusu ratiba, gharama na maandalizi ya safari Msaada wakati wa safari kwa njia ya simu au mawakala walioko mikoani Maelekezo kuhusu vitu vya muhimu vya kujiandaa navyo kabla ya safari Mawasiliano kupitia barua pepe, simu na mitandao ya kijamii Huduma hutolewa kwa lugha zinazofahamika kama Kiswahili na Kiingereza