Upatikanaji wa Huduma za Afya
Inatolewa na NHIF
Bima inahakikisha huduma za afya zinapatikana katika vituo vya afya vilivyopitishwa (akrediti) – hospitali za serikali, za dini, za kibinafsi Wafanyakazi wa serikali hushiriki kwa lazima (3% mshahara)/kazi za umma; mtu binafsi pia anaweza kujiunga hiari