Huduma ya Afya ya Akili (Mental Health Services)
Inatolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Kuna kitengo kinachotoa huduma kwa wagonjwa wenye matatizo ya kiakili kama msongo wa mawazo, unyogovu, matatizo ya tabia, na matumizi ya dawa za kulevya. Wagonjwa hupatiwa ushauri, dawa, au kulazwa kama inahitajika.