Huduma ya Upasuaji (Surgical Services)
Inatolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Upasuaji wa aina mbalimbali hufanyika, ikiwa ni pamoja na upasuaji wa tumbo, kichwa, koo, saratani, na upasuaji wa dharura. Wagonjwa hupangwa kulingana na hitaji la upasuaji na utayari wa afya yao.