Ushauri wa Kitaalamu wa Nywele Asili (Hair Consultation)
Inatolewa na Natural Hair Salon Tanzania
Natural Hair Salon Tanzania hutoa huduma ya ushauri wa kitaalamu kwa wateja kuhusu utunzaji sahihi wa nywele asili. Ushauri huu ni muhimu kwa watu wanaokumbana na changamoto kama vile: Kukatika kwa nywele Kukosa unyevu (dryness) Kukua polepole kwa nywele Matatizo ya ngozi ya kichwa (kama vile dandruff au kuwasha)