Huduma ya Mochwari (Mortuary Services)
Inatolewa na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Hospitali ina mochwari kwa ajili ya kuhifadhi miili ya marehemu kabla ya kuzikwa au kusafirishwa. Huduma hii inahusisha usafishaji wa miili, kuhifadhi kwenye jokofu maalum, pamoja na kutoa vyeti vinavyohitajika kisheria kwa familia.