Huduma ya Delivery

Inatolewa na Awery Kitchen Restaurants
0/5.0- Imepata 0 Maoni
Hakuna maoni ya kutosha. Acha maoni yako kuwasaidia wengine!

Huduma ya Delivery

Inatolewa na Awery Kitchen Restaurants

Awery inatoa usafirishaji wa chakula bure kwa wateja walioko karibu, kwa kuzingatia masharti na vigezo maalum. Huduma hii imebuniwa ili kuhakikisha wateja wanapata chakula kwa urahisi na haraka, bila haja ya kufika mgahawani moja kwa moja.

Sign In