Huduma ya Delivery
Inatolewa na Uswazi food
Uswazi Food hutoa huduma ya bure ya delivery kwa wateja waliopo katika maeneo ya karibu, kulingana na vigezo na masharti yaliyowekwa. Huduma hii imelenga kurahisisha upatikanaji wa chakula kwa wateja wanaopendelea kuagiza wakiwa nyumbani au kazini, bila haja ya kufika moja kwa moja mgahawani.