Huduma ya Delivery
Inatolewa na Esha Buheti Food
Shishi Food hutoa huduma ya free delivery kwa wateja waliopo maeneo ya karibu, kulingana na vigezo na masharti. Huduma hii inalenga kuwapatia wateja urahisi wa kupata chakula chao walichokipenda bila kulazimika kufika moja kwa moja mgahawani