Huduma kwa Wanafunzi na Jamii
Inatolewa na Union Sports Club
Hutoa Programu za makundi, mafunzo kwa watoto na vijana (siku za wiki, wikendi, msimu wa likizo) lakini pia kuna Mikutano na semifarents, workshops na warsha kwa wazazi na wadau wa michezo, sio hivo tu pia kuna Matukio ya Jamii kama vile leagues za michezo mbalimbali kama vile Ramadhan Cup ambayo hua kila mwaka