Huduma kwa Wazazi na Jamii
Inatolewa na Future Stars Academy
Wana ratiba ya Mikutano na warsha kwa wazazi – kuwaeleza maendeleo ya watoto, afya, nidhamu, na fursa zinazopatikana kupitia michezo. Matukio ya kijamii na michezo ya wazazi vs watoto hii husaidia kujenga uhusiano mzuri kati ya familia na academy.