Huduma ya Malazi na Usafiri
Inatolewa na Kilimanjaro Adventure Safari Club
Kampuni inaratibu malazi kwa wageni katika hoteli za viwango mbalimbali kulingana na bajeti ya mteja. Pia hutoa huduma ya usafiri kama vile: Usafiri kutoka na kwenda uwanja wa ndege Usafiri wa safari za ndani kwenda vivutio Kukodisha magari kwa safari binafsi