Ofa Maalum na Ticketi
Inatolewa na Fun City Kigamboni
Fun City Kigamboni huwapa wateja wao tiketi maalum kwa ajili ya matukio mbalimbali. Hii inamaanisha unaweza kupata nafasi ya kuhudhuria matukio yanayoandaliwa kwa kununua tiketi kabla ya siku ya tukio lenyewe. Pia, unaweza kuomba ofa maalum ya kutembelea Fun City kwa ajili ya taasisi na jumuiya kama vile shule, makanisa, na vikundi vingine. Hii inawapa fursa ya kufurahia burudani kwa bei maalum.