Huduma za Matangazo kwa Makampuni na Taasisi
Inatolewa na Radio One
Radio One hutoa huduma za kibiashara kwa wateja kupitia: Tangazo fupi (Spot Ads): Tangazo la redio la sekunde 15–60 kuhamasisha bidhaa au huduma. Utangazaji wa moja kwa moja (Live mentions): Watangazaji kuitaja bidhaa au huduma hewani. Udhamini wa vipindi: Kampuni au taasisi kudhamini kipindi kizima. Matangazo ya nje (Outside Broadcast – OB): Radio One kufanya matangazo ya moja kwa moja kutoka kwenye hafla au maeneo ya biashara.