YAH: OMBI LA KUBORESHA HUDUMA KATIKA OFISI YA JAZA – USINGE
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa ofisi yenu ya Jaza utufikie na kulifanyia kazi suala la huduma katika eneo la Using(e).
Kwa sasa hatupati huduma stahiki kama wateja, na tumekuwa tukikumbana na vitendo vya kudhalilishwa pamoja na kuhudumiwa kwa lugha na mwenendo usiofaa.
Kutokana na hali hiyo, tunaomba kwa heshima ofisi yetu ipangiwe mhudumu wa kiume ili kusaidia kuboresha mazingira ya huduma, kuondoa changamoto zilizopo na kuhakikisha wateja wote wanahudumiwa kwa heshima, utu na usawa.
Lengo letu si kumshusha mtu yeyote, bali ni kupata huduma bora na mazingira rafiki kwa kila mmoja.
Tunaomba ombi letu lipokelewe na kufanyiwa kazi kwa uzito unaostahili.
Tunatanguliza shukrani kwa ushirikiano wenu..