Huduma za Kidigitali (Online Services)
Inatolewa na Aga Khan Hospital
Huduma za Kidigitali (Online Services) Aga Khan Hospital pia ina huduma za kidijitali kama, Booking ya miadi kupitia mtandao , Matokeo ya vipimo kupatikana kwa njia ya mtandao, Huduma za ushauri wa kitabibu kwa njia ya video (telemedicine) kwa baadhi ya huduma.