Huduma kwa Wateja
Inatolewa na Mtandao wa simu TTCL
Huduma kwa Wateja ya TTCL ni utaratibu wa kampuni kutoa msaada na majibu kwa wateja wake kwa kupitia njia mbalimbali kama vile simu, barua pepe, au kwenye maduka ya kampuni. Huduma hii inajumuisha utatuzi wa matatizo ya huduma, maswali kuhusu vifurushi, malalamiko ya wateja, na kutoa maelezo ya huduma zinazotolewa na TTCL.