Spa na Wellness Center
Inatolewa na Mado Hotel
Mado Hotel ina kituo cha afya na urembo kinachotoa huduma kama sauna, steam bath, Morocco bath, massage ya aina mbalimbali (kama deep tissue na aromatherapy), pamoja na huduma za ngozi. Pia kuna gym ya kisasa kwa wageni wanaopenda kufanya mazoezi.