TBC Taifa – Redio ya Taifa
Inatolewa na TBC
TBC Taifa ni redio ya kitaifa inayorusha matangazo kwa Kiswahili na kusikika katika maeneo yote ya Tanzania kupitia masafa ya FM na AM. Ni redio inayojulikana kwa kutoa habari za kina na sahihi, mijadala ya kijamii, elimu ya afya, kilimo, haki za binadamu na maendeleo ya jamii