Mashindano Ya Michezo
Inatolewa na Union Sports Club
Hua Wanatoa Huduma ya Union Open Tournament ambayo hukutanisha matukio ya michezo mbalimbali na watu wa club tofauti hukutana na kushiriki, lakini pia kuna Mashindano ya klabu (Ramadhan, juniors, leagues), ambayo hufanyika kila mwaka kwenye michezo kama mpira, volleyball, dart, scrabble, na ping-pong