Ushiriki wa Wanafunzi kwenye Mashindano
Inatolewa na Dar es Salaam Gymkhana Club
achezaji wanaojiunga na academy hushiriki kwenye: Mashindano ya ndani ya klabu Ligi za mikoa au taifa Mashindano ya kimataifa (hasa tennis na squash) Hii huwapa fursa ya kukuza uwezo na kuonekana katika viwango vya juu