Ushirikiano na Timu au Mashirika ya Kimataifa
Inatolewa na Future Stars Academy
Kupitia ushirikiano na taasisi za michezo kutoka nje, academy husaidia: Kutoa nafasi za majaribio kwa baadhi ya wachezaji wake kwenye klabu au academies za nje Kusaidia vipaji kupata scholarships kwenye shule au vyuo vya michezo