Mafunzo ya Kozi kwa Makocha Vijana (Grassroots Coaching)
Inatolewa na Future Stars Academy
Future Stars Academy pia huwajengea uwezo makocha wa ndani kwa kutoa mafunzo ya awali ya ukocha (coaching clinics), kwa lengo la kukuza wigo wa watu wanaoweza kufundisha vijana kitaalamu.