Mchele na Maharage
Inatolewa na Azam Foods/Chakula
Bidhaa hii inahusisha mchele uliosafishwa na kufungashwa tayari kwa kupikwa bila kuhitaji uchambuaji wa ziada. Azam pia hufungasha maharage yaliyosafishwa, ambayo ni rahisi kupika na hayahitaji kuoshwa mara nyingi kama maharage ya kawaida kutoka sokoni.