Huduma kwa Wagonjwa wa Kulazwa
Inatolewa na Saifee Hosipitali Tanzania
Wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu hupewa nafasi katika wodi za hospitali. Kuna vyumba vya kulala vya kawaida na binafsi. Huduma kwa wagonjwa waliolazwa hutolewa na wauguzi pamoja na madaktari kulingana na hali ya mgonjwa.