Andika Maoni yako ili kuwasaidia wengine kujifunza kuhusu Huduma Hii
Hospitali ina maduka ya dawa yanayotoa dawa kwa wagonjwa waliolazwa na wanaotibiwa bila kulazwa. Dawa hutolewa kulingana na maagizo ya madaktari waliopo hospitalini.
Tufuatilie hapa
Chagua Toleo la Kusoma: