Kisinia
Inatolewa na Esha Buheti Food
Kisinia ni mchanganyiko wa vyakula mbalimbali vinavyowekwa pamoja kwenye sahani moja kubwa kwa ajili ya kushirikiana. Inaweza kujumuisha wali wa aina tofauti (kama wali mweupe na pilau), nyama, kuku, samaki, sausage, mayai, chipsi, kachumbari, pamoja na nyama choma. Mpangilio wa vyakula hivi hutegemea mahitaji ya mteja au aina ya huduma inayotolewa.