Jiachie International
Inatolewa na Mtandao wa simu TTCL
iachie International Pack ni kifurushi cha kimataifa kilichoundwa ili kutoa fursa kwa wateja kupiga simu za kimataifa kwenda maeneo wanayotaka. Huduma hii inawawezesha wateja kuwasiliana na familia, marafiki, au biashara kimataifa kwa urahisi