Vyumba vya Malazi
Inatolewa na Mado Hotel
Mado Hotel ina vyumba zaidi ya 80 vya aina mbalimbali kama Standard, Executive, Junior Suite, na Suite. Kila chumba kina vifaa vya kisasa kama Wi-Fi ya bure, televisheni ya kisasa (flat-screen), friji ndogo, kiyoyozi, sehemu ya kazi, na huduma ya chumba saa 24.