Uratibu wa Ratiba na Mpangilio wa Tukio
Inatolewa na Mc. Anthony Luvanda
Kabla ya tukio, husaidia kupanga mtiririko wa shughuli, kuhakikisha muda wa kila kipengele unazingatiwa. Huwa sehemu ya maandalizi kwa kushauri ni jinsi gani tukio linaweza kuendeshwa bila kuathiri lengo kuu la hafla.