Vyakula na Vinywaji
Inatolewa na Shrijee's Supermarket Tanzania
Shrijee’s wanauza bidhaa za chakula kama mchele, unga, sukari, maharage, tambi na masalas mbalimbali (dal, masala, etc.) Pia wanauza samaki na kuku vilivyosindikwa pamoja na matunda na mboga mbichi kutoka wakulima wa ndani . Vinywaji baridi kama soda, juisi, maji na vinywaji vya moto kama chai na kahawa zinapatikana dukani kama sehemu ya bidhaa zao