Bidhaa za usafi, urembo na vitu vya nyumba
Inatolewa na Mr.Discount Supermarket
wanauza sabuni (mwili na kufulia), detergents, tishu, wipes, pamoja na vipodozi na mafuta ya mwili pia wateja wanaweza kupata vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vikombe, na vifaa vingine vya nyumbani