Vyakula na vinywaji
Inatolewa na Mr.Discount Supermarket
Wanauza vyakula vya msingi kama mchele, unga, sukari, maharage, na tambi, pamoja na bidhaa zilizogandishwa kama kuku, nyama, na samaki. Pia wanatoa matunda na mboga mbichi kwa matumizi ya nyumbani pia kuna inywaji baridi (soda, juisi, maji) na vinywaji vya moto kama chai na kahawa