Mafuta ya Kupikia
Inatolewa na Mama Alaska
Mama Alaska pia huuza mafuta ya kupikia yaliyosindikwa tayari kwa matumizi ya jikoni. Mafuta yanayopatikana ni kama vile mafuta ya alizeti, mafuta ya mawese, au mchanganyiko wa mafuta ya kula kulingana na upatikanaji sokoni. Mafuta haya huuuzwa kwa chupa za ujazo tofauti (500ml, 1L, 2L, 5L) hadi madumu ya lita 20 kwa matumizi ya biashara au hafla kubwa. Yanaweza kupatikana kwa bei ya rejareja au kwa kiwango cha jumla kulingana na wingi wa ununuzi.