Mihogo Nyama Choma
Inatolewa na Aslay Mihogo coco beach
Mihogo na Nyama Choma ni mchanganyiko wa chakula unaopendwa sana katika maeneo mengi ya Tanzania. Mihogo Huambatana vyema na nyama choma Nyama ya ng’ombe, mbuzi au kuku iliyochomwa juu ya moto wa mkaa kwa ustadi hadi kufikia ladha ya kuvutia.