Mafunzo ya Michezo kwa Watoto na Vijana
Inatolewa na Dar es Salaam Gymkhana Club
Dar Gymkhana Academy hutoa mafunzo ya michezo mbalimbali, kulingana na programu walizoanzisha, kama: Tennis Golf Swimming (kuogelea) Squash Cricket Mafunzo haya hutolewa kwa viwango tofauti (beginner, intermediate, advanced) na kwa makundi ya umri.