Mafunzo ya Mpira wa Miguu kwa Vijana
Inatolewa na Future Stars Academy
Future Stars Academy hutoa mafunzo rasmi ya soka kwa watoto na vijana, kuanzia umri mdogo hadi ujana wa kati. Mafunzo haya yanajumuisha: Mbinu za msingi na za juu za uchezaji Mazoezi ya viungo (fitness & agility) Mafunzo ya kisaikolojia na nidhamu ya michezo Kucheza mechi za kirafiki na mashindano