Huduma za Msaada wa Kisheria (Legal Aid Services)
Inatolewa na Tanzania Womens Lawyer Association
TAWLA hutoa msaada wa kisheria bure kwa wanawake na watoto wanaokumbwa na changamoto kama vile: Migogoro ya ndoa na talaka Madai ya matunzo ya watoto Mizozo ya mirathi na umiliki wa mali