Ushughulikiaji wa Forodha (Customs Clearing)
Inatolewa na Nkira Trading and Investment
Nkira Trading hutoa huduma ya kushughulikia nyaraka na taratibu za forodha kwa niaba ya wateja wanaoingiza au kusafirisha mizigo kimataifa, ili kurahisisha na kuharakisha upitishaji wa bidhaa mipakani au bandarini