Safari za Mbuga za Wanyama
Inatolewa na Swahili Paradise Tours & Safaris
Swahili Paradise hupanga safari kwenda mbuga maarufu kama: Serengeti National Park Ngorongoro Crater Tarangire National Park Lake Manyara Safari hizi huendeshwa na waongozaji wenye uzoefu kwa kutumia magari maalum ya utalii.